Categories

 

September 2017
M T W T F S S
« Jun    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
Share |

MOTO WAUNGUZA SHAMBA LA SHULE.

Moto mkubwa ambao umewashwa na watu wasiojulikana umeunguza shamba la shule ya msingi Rwamugurusi iliyoko wilayani Karagwe.

 Tatizo la uchomaji moto mwaka huu limedhibitiwa ipasavyo na uongozi wa wilaya kuanzia ngazi za vitongoji,vijiji,kata hadi wilayani.Watu wasiopenda maendeleo huwa hawakosi katika jamii na ndivyo ilivyotokea kama unavyoiona picha hii.

Mkuu wa wilaya ya Karagwe con. Fabian .I. Masawe ambaya kwa sasa amepandishwa cheo na kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera wananchi wa wilaya ya Karagwe wanampongeza sana kwa kazi yake nzuri ya kuhakikisha mazingira yanatunzwa ipasavyo hasa suala la usafi wilayani humo.

Na: Johnson Majara-Redio Karagwe  91.4 fm

Leave a Reply

 

 

 

You can use these HTML tags

<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>