Categories

 

September 2017
M T W T F S S
« Jun    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
Share |

UCHOMAJI MOTO OVYO KARAGWE TANZANIA

Mazingira ni kitu cha muhimu sana katika kila jamii duniani na ni kitu ambacho kinahitaji umakini mkubwa, kuanzia ngazi ya familia hadi ngazi ya taifa.Ni jukumu la kila mmoja wetu kutunza mazingira

Uchafuzi wa mazingira unasababisha athari nyingi katika jamii.Mojawapo ya vyanzo  vya uchafuzi huo wa mazingira ni uchomaji moto ovyo.

Mkuu wa wilaya Karagwe baada ya kusisitiza na kutoa maonyo mbalimbali juu ya uchomaji moto ovyo lakini baadhi ya watu wasio na huruma huamua kuchoma moto kama sehemu hii hapa chini inavyoonekana.

Itapendeza sana tukiyatunza mazingira yetu ili yatutunze kama inavyoonekana hapa chini

Na Johnson Majara- Radio Karagwe fm 91.4

Leave a Reply

 

 

 

You can use these HTML tags

<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>